Sijaelewa?Amekosea kusema kuna watu wanatekwa au ksema kuna watu wanauawa na hakuna hatua zozte zinachukuliwa.? Chakujadili hapa ni je anachosema ni kweli au upotoshaji?
Mimi ni Yanga Lillian ila mwanasheria hakuna hapo. Timu kama Yanga kwa nini isikodishe kampuni kubwa za kisheria au kama pesa hakuna watumie wanasheria kama Kibatala,Lisu,Mwabukusi,Malya au ha Rugemeleza. Walipanga kufeli
Viongozi wa Afrika wanqshindwa kuwa wafanyakazi wa wapiga kura badala yake wanakuwa maboss. Kodi zawananchi zinapofanya kazi wanasema Raisi kafanya. Haya mambo sio Mambo ni uhaini. Ndio maana Tamph anasema Africa inabidi itawaliwe upya.
Ushoga na ukahaba ni vitu tofauti Kahaba anafanya mapenzi biashara shoga anafanya mapenzi kinyume na maumbile huwezi kuzuia ukahaba kwa kudhalilisha wanawake
Raisi anajengewa nyumba yenye hadhi ya Ikulu mshahara wa hadhi ya Raisi alieko madarakani kwa kodi za wananchi masikini huoni! Unaongelea kwa hiari yao watu wametoa kwa mpendwa wao bila shuruti
Tanzania ni binadamu sawa na nchi nyingine? Au sisi ni Taifa so exseptional kiasi kwamba internate tuu masharti kibao. Mbona Starlink wapo sehemu nyingi tuu. Tena zilizoendele na zinazotupa misaada
Huenda kweli Lisu ni mbaguzi je hoja zake nazo? Mtanganyika anaweza kuwa waziri Serikali ya Zanzibar je kuna kitambulisho cha mkazi ambacho kama huna hupewi Ardhi. Wabunge 80 wa Zanzibar kwenye bunge la muungano na hakuna mbunge waTanganyika hata mmoja bunge la wawakilishi ukitoa TV Dae kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.