Recent content by KINYEKINYE

  1. K

    Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

    Siyo kweli. Unaweza kufanya shoo home na nje ukalipwa vizuri. Kwani hao mapromota wa nje hawajui kama una kwenu? Unataka kusema Diamond katookea wapi mpaka kupata shoo za nje? S Mwembe Yanga hiyohiyo!
  2. K

    Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

    Shigongo ana hoja wajameni! Hata kama mtamnyonga lakini apewe haki yake!
  3. K

    Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

    Unataka kuniambia akina Davido kule kwao hawafanyi shoo?
  4. K

    Shigongo adai Diamond anaelekea shimoni, awataja mameneja wake kama chanzo

    Kwa sababu wana dalili zote za kimaslahi ya kwao wenyewe wawili. Shigongo ana hoja.
  5. K

    Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

    mbona shigongo ana hoja ya msingi sana tena ni ushauri kama kaka kwa mdogo wake. Povu la Babu Tale lilitokana na nini hapo? au anahisi kibarua chake hatarini!?
  6. K

    Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

    huna hoja ya msingi. nadhani ungesoma ushauri wa shigingo kwanza ndipo utoe maoni. haya maoni yako hayana tofauti na watoa maoni ya wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2015. tatizo wabongo mihemko mingi kuliko kutafiti.
  7. K

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    mimi sijaona hoja ya babu tale. na kama meneja wa msanii mkubwa anaweza kutoa madai haya ya kikazi kwenye mitandao kuna tatizo kubwa kwa mameneja wa wasanii wetu. ndiyo maana muziki wa Bongo uko levo moja miaka na miaka
  8. K

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    mbona uingreeza mitandao imeanza miaka mingi lakini bado watu wananunua magazeti, we sema hali ya mfuko wapo si nzuri
  9. K

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    ldddmmmmtttatizo wabongo si waelewa hata kidogo. mada ya shigongo ni kuemwelekeza diamond, sasa babu tale kinachomtoa povu ni nini? ukwlei umemuuma? hawasa wasanii wetu wakiwa wanatafuta kutoka wanauitaga shigongo 'broo' wakishafanikiwa wanamwona kama anawachafua. kama si magaeti ya shigongo...
  10. K

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    sasa unaposema tuiachie polisi una maana gani wakati kazi umeshaianza wewe. si uendelee. wabongo bwana!
  11. K

    mnyika

    mkuu si ungejibu hoja kwanza, brabraa baadaye
  12. K

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    hamia mtaani ninaoishi mimi uone kama hatutalala kwa sababu ya mapombe yako!
  13. K

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    ukifika baa usininunue, hiyo ndiyo dawa pekee.
  14. K

    Dr. Ferdinand Masau: Daktari mzalendo anayejuta kuwa mtanzania

    serikali ina uwezo wa kuingilia kati suala hili dr masau akaendelea na kazi ya kuwatibu walalahoi kwa sababu nssf ni yake. kusema kwamba masau anafanya biashara na nssf inafanya biashara si kigezo cha kumfilisi kwani uamuzi wake wa kuwekeza bongo ilikuwa nafuu kwa hiyo hiyoo serikali. da! pole...
Back
Top Bottom