Recent content by KINYANYIKO

  1. K

    Kikwete ni rais bora na wa kuigwa barani Africa

    RAIS bora au bora RAIS,naul 150 hadi 400,sukari 600 hadi 2000 na unga 150 mpaka 1200.Mtoa mada hapa umechemka.
  2. K

    Lowassa na siasa za makanisani?

    Ili upate mavuno mazuri,nilazima upate ardhi nzuri na ufanye maandalizi mazuri.Kuanzia kulima,kupanda mbegu bora,palizi ya mapema na mavuno yataku poa sana.Mzee anajipanga mapema kwa kutafuta urahi wa kusafisha njia mapema ya 2015.
  3. K

    ungekuwa hakimu ungeamuaje hii kesi?

    Ningemwachia huru kwa kua marehdmu alichangia kifo chake
  4. K

    Jamii4rum

    Ktk baraza kahawa nipo namie wa pwani.yalimwa bara yanywewa pwani
Back
Top Bottom