• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Kinoamiguu

 1. Kinoamiguu

  Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

  Uhuru 1961 mpaka leo watoto wanakaa Chini shule, watu wanakunywa maji ya tope, leo tunafundishana hata kunawa mikono hao wapinzani ndo wame sababisha. Unakipenda Kwa kuwa ni chama cha baba na mama lakini sio kwa maendeleo Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Kinoamiguu

  Ujumbe wa Bob Marley kwenda kwa CCM na wafuasi wake

  Kwani bibilia na quran vilitungwa lini? Ukiambiwa uliiba mitihani unatukana Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Kinoamiguu

  Ujumbe wa Bob Marley kwenda kwa CCM na wafuasi wake

  Wimbo small axe Mtunzi bob Marley Why boosteth they self Oh evel men Playing smart and not being clever I said ur working on inquiry To achieve warmity (if a so a so) But the goodness of jah, jah I dureth for I ver So if ur the big tree We are the small axe Ready to cut u down ( well sharp) To...
 4. Kinoamiguu

  Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

  shaka s. shaka UVCCM aliolewa na salum Mpelembwe huko Tanga... nae ni wa ufipa?
 5. Kinoamiguu

  Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

  nani huyo alimpa mangula sumu lengo lake lilikuwa nini
 6. Kinoamiguu

  Ilikuwa ni makosa makubwa kuiruhusu CHADEMA ikue kwa asilimia walau 20% ,tunakuomba Katibu Mkuu Dr. Bashiru haya makosa yasijirudie tena

  leo tlp na NCCR vimekuwa vyama bora vya upinzani? TLP Kwakuwa mrema ameshampitisha mgombea wa chama. ni mrema huyu huyu alifunguliwa case 9 kwa wakati mmoja pale kisutu akiwa na chama kinaitwa NCCR/ nyumba ndogo ya ccm leo? wewe hunakumbukumbu. utakuwa ulikuwa kijijini wakati huo
 7. Kinoamiguu

  Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

  ndege ya raisi ilishatolewa kwa shirika husika na yeye mwenyewe inakuwaje ya kwake tena mkuu.
 8. Kinoamiguu

  Kubenea awaonya wanaopiga ramli kuhusu hatima yake CHADEMA, azungumzia Virusi vya Corona

  leo amekuwa mwema? ulisahau kwamba alimwagiwa sumu na kukatwa mapanga na ccm? mangula kanyweshwa sumu na nani? tuseme ni mwenyekiti wenu? kwanini?
 9. Kinoamiguu

  Ujio wa Corona umedhihirisha ubora wa maono ya Rais Magufuli.!

  hahahaha mangula alinyweshwa sumu nanani jibu swali. kwa akili zako unaweza hata kumkuta shemeji analiw na njemba ukasema ni mpinzani
 10. Kinoamiguu

  Ulishawahi kukutana na balaa la FFU? Tupeane mawili matatu

  2004 kwenye kunji la kupiga kuanzishwa loan board kulaleki tulikutana nao survey wakati tunaenda kumuona mkapa Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Kinoamiguu

  Kipindi cha TBC aridhio wamejitahidi sana

  Kuna jamaa pale anatangaza mambo za kiswahili mweuoe hivi jina sikumbuki sawasawa. Ana akili ndogo sana yule hata sijui walimuokota wapi Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Kinoamiguu

  Aliyetoroka karantini akamatwa Iringa

  Simuamini beans Richard kasesera. Yule ni muhuni kama malima na mongols na sabaya na yule mistake pale ilala Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Kinoamiguu

  Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

  Unajidanganya ukifikiria kwamba ili uwe mchambuzi wa siasa lazima uwe uwe musoma siasa. Bashiru yule pale unaona Ujinga anaoongea. Nashindwa hata kueleza ujinga anaongeaga bashiru Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Kinoamiguu

  Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

  Unajidanganya ukifikiria kwamba ili uwe mchambuzi wa siasa lazima uwe uwe musoma siasa. Bashiru yule pale unaona Ujinga anaoongea. Nashindwa hata kueleza ujinga anaongeaga bashiru Sent using Jamii Forums mobile app
Top