Recent content by kinjumbi one

  1. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Zanzibar

    Zamani ilikua wazanzibar weliowengi wakijinasibu wao ni wazanzibar, lkn siku za hivi karibuni, wao ndo wamekua mstari wa mbele kujinasibu wao ni wa Tanzania, jambo ambalo mwanzo hawakuona kama ni fahari kuitwa hivyo. Kuna nini?
  2. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nafaka mtaji mkubwa faida kiduchu

    S Sio huko tu, miaka hii kila biashara faida ni ndogo sana, kikubwa kuhakikisha kukimbizana na mzunguko tu. Kwa mfano bati gage 32 unainunua hadi inakufikia dukani 17300. Afu unaiuza 18000, faida sh 700. Ktk mtaji wa 17300.
  3. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Bakhresa Company upande wa television mnatunyanyasa Watanzania kwa vifurushi vya kulipia

    Sio suala la gharama, bali watanzania ujamaa umewaharibu. Kama suala la haki za msingi za kupata Habari, si kunachanel za bure amewaachia! Ikiwemo tbc itv na ya mziki eatv na ya wanyama safari tv mnataka nini zaidi? Sula la mpira siku hizi ni suala la ki biashara na meona anatia mabilioni ya...
  4. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Mkuu Shukrani sana kwa kunipa mwanga wa kuanzia. Vpi kwa uzoefu wako hiyo orodha hapo itatosha kiasi nilichoainisha hapo juu? Yani 20 million
  5. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Tunatakiwa kufungua nini?
  6. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Ngoja tupate miongozo kwanza!
  7. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Hata kipindi hiki cha msimu?
  8. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Kivipi mkuu? Sijakuelewa.
  9. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Habari. Naomba ushauri kwa mwenye uzoefu wa biashara ya hadwere, nina mtaji wa 20, m nahitaji kuanza biashara hiyo. Naomba mchanganuo wake, namna ya kubalance ili itoshe. Natamani nianze na cement, mbao, bati, na vitu nyengine vidogo vidogo vya dukani. Biashara nataka kufungulia mikoa ya...
  10. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Chimbo la remote za Tv jumla Kariakoo

    Mtaa wa manyema
  11. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

    Boda boda gani inayouzwa milion 2?
  12. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Tatizo anaegongwa anawasimulia namna alivyogongwa wasio gongwa.
  13. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania DSM: Namna ya kupata line za chuo Halotel na Airtel

    Mambo ya miaka minne iliyopita, una jibu leo?
  14. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayepajua Mangaka wilaya ya Nanyumbu

    Ilikuwa dar
Back
Top Bottom