Waliokuletea dini wako na amani kwa jinsi alivovaa ila we mletewa dini ndo umefura kama kifutu.
Wenyewe wamemkaribisha patakatifu pao ambapo we mfia dini huwezi kupakanyaga
Kwa hiyo unachotamani kuona maishani mwako ni kila kiumbe klabu during mungu wako. Ndo maana nchi hii haiendeleI ni kwa sababu vichwa vingi kama chako vinafikiria tamaduni za watu wengine zaidi kuliko tamaduni zetu.
Umenena vema mkuu, ningekuwa nakunywa kinywaji ningekualika tunywe pamoja. ila kama wewe mnywaji endelea ntakuja kulipia.
Kimsingi watu wanachukulia kuwa kuwa na sauti flani nyembamba ndo kuwa mwimbaji mzuri. Diamond ni mwanamuziki na ni msanii. Alikiba ni mwanamuziki ila kufanya sanaa
Ili uelewe hilo inabidi ujiulize vita ya Iraq ni nani walikuwa wanapigana kule. Ujiulize pia kuhusu vita ya Afghanistan na usisahau chokochoko za uhasama wa kivita kati ya mataifa nani wanakuwa nyuma ya pazia
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki na hasa muziki wa dansi ingawa nyimbo nyingi sizijui. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwasikiliza Washirika Tanzania stars na mpaka sasa nikisikia nyimbo yao yoyote natulia kwa makini kusikiliza. Hiyo ilikuwa bendi pendwa kwangu kabla hawajasambaratika na...
Mtu asiye mwisilamu akija msikitini kujadili uislam atakuwa anaingilia uhuru wa waislamu lakini ikiwa mmeamua mjadala uwe kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania basi hilo litazungumzwa na watanzania woote.
Usikasirike, km kadhi ni ibada basi ijadiliwe misikitini na ianzishwe huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.