Recent content by kingswazitz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea Ally Edha Awadh atumia Mahakama kuzuia asiandikwe

    Ama kweli tumefikia pabaya pesa mwanaume.jamaa kapewa kipigo, kalawitiwa, mali zake zaporwa , jeshi la polisi kalinunua, mahakama kahonga hadi gazeti la jamhuri wapewa viroba vya Pesa na ww unasema tuna amani hio amani iko wapi ama kweli huko tunapoelekea ni machungu mno. Kaka peleka kilio...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    Hata JK juzi cnn amemkatalia aman pour alivyoulizwa utayari wa kulawitiana hapa TZ
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    Kwani ally ameshawalawiti waswahili pia ila hao wanaona aibu kuji peruzi ktk vyombo vya habari aibu jamani kwetu huu mchezo wa kulawitia
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    kova ndio mla rushwa NO 1, jeshi la polisi lote kalihamishia kampuni ya lake oil nadhani anazo interest hapo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    huyu mkurugenzi wa lake oil ni mnyama kama aliweza kumtia kaka yake tumbo moja anayeitwa Mohamed Edha mahabusu ambaye ndie aliyempa mtaji wa kuanzia biashara hio ya lake oil siyo ajabu kuwafanyai ukatili watu wengine na asitumie kifua cha Bwana Mdogo Rizwan Kikwete hana mahusiano na lake oil...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    duhh!!
Back
Top Bottom