Mimi ni kijana nafanya kazi Singida lakini familia iko Dar. Nahangaika kuhama lakini ndo hivi tena mambo magumu.
Ili kujikwamua na tatizo la kulipa kodi nimejitahidi nimejenga kibanda mbagala Chamazi lakini nimeishia karibia lenter, wakati huohuo natakiwa mwishoni nwa march mwaka huu nihame ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.