Recent content by kingngaunje

  1. K

    JamiiForums Tanzania DC Hai ashtukia wizi wa Million 70

    Hamna uwiano wa hiyo story, naona giza tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Nimepokea malalamiko kutoka Kata 72 katika uchukuaji na urejeshwaji fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Sasa unaenda kupiga kura ya nini?km uchaguzi ni haki ya kila raia?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Nimepokea malalamiko kutoka Kata 72 katika uchukuaji na urejeshwaji fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Anasema dosari ndogondogo, watu wamenyimwa form na ofisi kufungwa hizo ni ndogo kweli?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa magari mabovu kama skrepa

    Kuna mark 2 gx 100 sio mbaya sana inahitaji matengenezo kdg tu,,km hutojali .0754308621
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama haya ni maagizo kutoka juu, basi anayetoa maagizo haya katudharau sana watanzania na anaamini anaweza kufanya lolote na tukakaa kimya

    Nilijiandikisha sasa kwa mwendo huu wala sitaenda kupiga hyo kura.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maagizo waliopewa watendaji Ikulu yaanza kufanyiwa kazi uchaguzi Serikali za mitaa, upinzani wafungiwa ofisi, fomu zimekwisha, wagombea kutekwa

    Lakini kama ni kweli hayo basi kwanini vyama vingine vishiriki? si waachane tu na huo uchaguzi kwa nini mjipe stress? acheni wachaguane wenyewe muda wenu ukifika basi mtafanya yenu.
Back
Top Bottom