Yaani Wewe bado unaziamini taarifa za Wazungu Waliotutukana kwamba Waafrica walitokana na Nyani, Waligundua Ziwa victoria, Waligundua Bahari ya Hindi n.k.
Unawaamini Wazungu ambao Wakikuta Mtu anauzalendo kwa nchi yake Wanamwita Dikteta ili Wamchafue na kumuua, Wanampenda Chawa wao...
Paulo Makonda nafasi aliyekuwepo alimficha Katibu mkuu hata asijulikane. Makonda akipewa nafasi hata ya utendaji wa Kata ile Power of leadership itaiongoza Wilaya na Mkoa. Ila anafaa sana kuwa P au awe JPM
Nasikia Jamaa Kichomi kweli. Anaweza akaja kwako na hati akakwambia ni Eneo langu na akaandaa mashahidi anakushinda. Huyo ni tp. Mahakama haiwezi kuamulu au kuamua kila Kitu saizi Kuna Quas Judicial Kwenye kila Wizara.
Na Maamuzi ya Wizara chini ya Quasi Judiciary yao ina maamuzi Sahihi ambayo...
Imenikumbusha mbaali Sana.
ACT Wazalendo wana Siasa za Shule sana. Yaani kuna avitabu vinagawiwa kwa ajili ya Kutoa elimu kwa Wapiga kura. Wao wamekuwa Wakiviandaa Vitabu hivyo kama
Kura Feki ili tu kuendelea kutengeneza Imani kwa Wananchi kuwa hawakushindwa kihalali. Hii Siasa za Mchongo...
Wewe mwenyewe na baba yako pia.
Badala ya kuleta mijadala ya kujadili leo na kesho nzuri ya Tanzania unataka tujadili akina nani walipendwa zaidi. Kwanini usijadili sera ya awamu ya 5 na ushauri wapi pa boreshwe kwenye awamu ya sita. Ukianza kuleta ujinga humu wa mapenzi ukijibiwa vibaya...
Hakuna Wizi wa Kura unaofanyika. Neno Wizi ni neno linalotumiwa na Mwanasiasa kuwaaminisha Wafuasi wake kuwa ameibiwa kura ili waendelee kumuunga Mkono. Mfano kuna Chama kimoja Mgombea wake alisimimia Kituo cha Kupigia kura na Kwenye kituo hicho aliamini atapata kura nyingi lakini Matokeo yake...
Mtak tena aende Dar 😂😂😂. Hilo Jiji apewe Mkumba alikuwa RC Tanga na alitumbulliwa kwa Kuchongewa na Wapiga dili. Chalamilla ni Mzuri kwasababu siyo mnafiki ila Mbadala wake awe Mkumba au RC wa Morogoro wa Sasa Malima. Wanaotosha kwa Jiji la Dar kwa sasa
1. Chalamila
2. Malima
3. Mkumba @ Mzee wa...
Nina Uhakika ulikuwa na Kipimo chako cha ubora Kichwani. Niambie wewe saizi na hicho Kichwa chako unasomeka pande zipi.
Ni Muhimu kuwaheshimu Watu hasa ullosoma nao maana inakuletea Faraja kuwa Mungu Darasa lenu ameliona. Sasa Wewe Badala ya Kumshukuru Mungu kwa hillo wewe unaleta porojo.
Hapo Jijini Dar es Salaam saizi Ukienda Kunywa Mahala. panaheshima. Yaani ilikuwa imefikia hatua Mbaya Yaani Mwanaume unapita Sehemu Unagombaniwa kama Mitumba ya Bure. Yaani unalazimishwa uone Vitu vya ajabu ajabu, Binadamu Wanaishi kama Wanyama. Nenda Vibe lounge, Kitambaa cheupe, Warehouse...
Bro hauelewi Kitu Sisi Wananchi tulimtaka Magufuli na Siyo Kampuni ya Kupiga dili Mali ya Umma. Na kama hujui ukitaka Uchukiwe mpaka Kizazi chako chote endelea kutukumbusha Mambo yaliyopita. Nimesikiliza Clip haina Ujumbe wowote wa Kashfa ila Sauti yako uliyoiingiza ndiyo inakashfu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.