Recent content by kingminaz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mati uyole mbeya

    Jamani mie ni miongoni mwa waliotuma maombi ktk chuo cha mati uyole mpaka sasa sielewi kama post wametoa,coz sijapata barua tafadhali mwenye no za mkuu wa chuo au za mwanachuo yeyote naomba aniwekee hapa pia kwa anaejua naomba anibipu kwenye no 0762525467 mie nitampigia ili anipe maelekezo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha kilimo mati Ilonga (kilosa)

    Mie ni miongoni mwa waliochaguliwa ktk chuo cha ilonga kilosa we chakufanya nipigie cm nikupe no ya mkuu wa chuo ili aangalie jinalako kama umechaguliwa, pamoja sana.Jitahidi nipigie cm no yangu ni 0762525467 ili nikupe maelekezo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane kuhusu kilimo

    Wakuu naomba kufahamishwa,mati uyole imeshatoa post? pia mwenye no za mkuu wa chuo naomba aniwekee hapa natanguliza shukrani.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Pamoja sana wakuu ila naomba mnijuze yanastawi maeneo gani ya baridi au joto.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Anhasante sana kwa elimu yako nzuri kwa kufanya hivyo unamaanisha kuwa wewe sio mbinafsi na mungu akubariki akujaze pale ulipopungua.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Walio apply wizara ya afya

    Mbona majibu yenu hayaeleweki? kama huna jibu sahihi nyama 2 wengine waseme.
Back
Top Bottom