Recent content by KingKimpa

  1. KingKimpa

    Brighter Monday is a SCAM

    Im glad to have a certified response... Thank you mkuu...
  2. KingKimpa

    Nahitaji ya Gari ndogo... Budget 6.5M

    Ahsante mkuu...
  3. KingKimpa

    Nahitaji ya Gari ndogo... Budget 6.5M

    Hapana... Hii nilishamiliki mkuu...
  4. KingKimpa

    Nahitaji ya Gari ndogo... Budget 6.5M

    Thanks for the tip mkuu Shark...
  5. KingKimpa

    Nahitaji ya Gari ndogo... Budget 6.5M

    Nimettembelea sana man... Madalali wengi. Istoshe wanakuzungusha hata kama wanajua gari wanazokuonyesha haziendani na bajeti. Ako. Hapa naamini kusomwa na owners na sio madalali mkuu
  6. KingKimpa

    Nahitaji ya Gari ndogo... Budget 6.5M

    Wakuu, kichwa cha habari kinahusika.. Nahitaji kagari kadogo kadogo cha kimjini mjini, kama IST, Vitz, Allex, Raum au Sienta... Budget inaweza kupanda kidogo kama gari itakua imesimama... Kama una gari njoo inbox. Naomba kuwasilisha...
  7. KingKimpa

    Brighter Monday is a SCAM

    Umemena vyema mkuu... Wajitathmini aiseee..
  8. KingKimpa

    Brighter Monday is a SCAM

    Habari za Jumamosi njema wana-Jamvi.. Natumai mmeinza salama, na kwa wale walioingia kwenye kuchakarika naomba niwatakie kila la kheri. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika hapa. Hawa jamaa wanaojiita BrighterMonday nadhani wameishiwa kabisa strategy za kuwafikia wateja wao, and now...
  9. KingKimpa

    Sina kazi wala kipato chochote; nadharaulika na ndugu zangu

    Me ninayo ya International Development mkuuu.... Nijutafute???
  10. KingKimpa

    Mambo 12 wasiyopenda wanaume kwa wapenzi/ wake zao

    Me nafikiri mpangilio ungeboreshwa ili #3 ishike usukani nafasi ya kwanza
  11. KingKimpa

    Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    Hizi bahati bana...[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] please allow kuongeza kinywaji... Lost hope[emoji17] [emoji17]
Back
Top Bottom