Recent content by kingkimbe

  1. kingkimbe

    Naitaji control box ya Toyota duet

    Wakuu habari zenu. Kama kichwa kinavyosema hapo juu naitaji control box ya Toyota duet engine ni EJ-DE piston tatu msaada wenu tafadhali
  2. kingkimbe

    Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Mkuu naitaji connection ya wauza TV
  3. kingkimbe

    Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

    Naona comments namba #2 amemaliza kila kitu angalia wateja wako wachunguze wanataka nini ndio uwape
  4. kingkimbe

    Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

    Mleta mada tuambie wewe unachojua. Mfano hipo mingi Tu mfano nzuri wewe si Una balance yako vizuri lakini ukijikwaa unaanguka hivyo na vimondo msuguano UKIWA mkali vinameguka simple Tu. Kuhusu mwanga kupotea kikifika chini kuna mfano UKIWA unakata chuma na grenda utaona mwanga WA cheche baadae...
  5. kingkimbe

    MSAADA: Kodi za TRA pindi mzigo ukifika nchini

    Lengo ni kuagiza simu na vifaa vya simu
  6. kingkimbe

    MSAADA: Kodi za TRA pindi mzigo ukifika nchini

    Mwl.RCT Naomba kuuliza maana wewe ni mkongwe kwenye hii tasnia ya usafirishaji naomba kuuliza soko kuu la mtandaoni Dubai kama ilivyo Alibaba China kama unalijua naomba unisaidie
  7. kingkimbe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mmmh!! Mwezi WA 10 ilikuwa elfu 21 boss mbna unatupiga na kitu kizito me nililipia mwezi WA 12 nikafungiwa mwezi WA Tatu hiyo 320 ulilipia na nguzo au 3phase ??
  8. kingkimbe

    MSAADA: Kodi za TRA pindi mzigo ukifika nchini

    Naomba mawasiliano yako Mwl.RCT
  9. kingkimbe

    MSAADA: Kodi za TRA pindi mzigo ukifika nchini

    Habari wanajamvi, natumaini mpo poa? Nilikuwa naulizia kwa wajuzi, kodi za mizigo inayokuja na meli kwa njia ya posta mfano, mzigo ya phone and computer accessories TRA wanachukuaje kodi? Naombeni msaada.
  10. kingkimbe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wadau za sahv mwenye kujua yanapopatikana makapeti haya ya kawaida sio Yale ya manyoja nataka kununua Kwa jumla naomba msaada
  11. kingkimbe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO habari naomba muniangalizie Mita no. 54150014642 kama ina vigezo Kwa kuwa tarif 4 ahsante
  12. kingkimbe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Mimi nimelipia mwezi wa 12 tarehe 8 Hadi Leo sijafungiwa umeme na niliambiwa umeme utafungwa ndani ya siku 30 hii hipo vipi ??
  13. kingkimbe

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Wakuu natafuta TV ya led inch 43 napata Kwa shiling ngap
Back
Top Bottom