Recent content by KingKacha

  1. KingKacha

    Vyombo vya Usalama angalieni CWT hapo Jamhuri

    Kunatakiwa maisha mapya ya chama cha Walimu. #WalimuBilaCwtInawezekana
  2. KingKacha

    Vyombo vya Usalama angalieni CWT hapo Jamhuri

    Na akikamatwa mtu abanwe kwelikweli
  3. KingKacha

    Vyombo vya Usalama angalieni CWT hapo Jamhuri

    Leo 04/06 na Kesho 05/06 TAKUKURU na vyombo vyote vya usalama kama mpo around Jamhuri vichwa vitakuwa vingi sana. Tunaambiwa Rushwa ni Adui wa Haki
  4. KingKacha

    Tuhuma za rushwa zawaweka kikaangoni viongozi wa CWT Dodoma

    Hilo jina tu Mutungi. Yaani wahaya ni wachafu sana katika rafu za rushwa na figisu. Amini nakwambia ni tatizo kubwaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. KingKacha

    Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Kumekuwa na mbwembwe nyingi za wachungaji, mitume na manabii kukitokea matatizo yoyote katika jamii wakijinasibu kuyamaliza kwa uwezo waliopewa. Mara nyingi wao hutunga vitu na kusisitiza wameoneshwa na Mungu na kutamka kuviondoa. Wakijinasibu wakati mwingine hata kusema wanawaponya watu...
  6. KingKacha

    Naomba kufahamu mambo haya kuhusu Wachawi

    Fanya mambo matatu, usiwe mtu wa kusali sana, usiwe mtu wa watu sana (marafiki), usielezee mafanikio au mipango yako wala kuyaonesha, ukiweza angalau uwe mtumiaji wa kitimoto na bangi. Nakwambia wachawi huwezi kuwa kwenye channel zao Sent using Jamii Forums mobile app
  7. KingKacha

    Strategies Insuarance Mnakwama wapi?

    Wiki Juzi nikaenda Aga Khan nimcheki urologist lakini pia nkaenda Muhimbili. Ninatumia bima za Afya mbili ambazo ni NHIF na STRATEGIES. Sasa hawa jamaa wote nkawaona madaktar kwa pande zote mbili vitengo vya Urology. Nimefika Muhimbili nkawaelezeaaaa wakanipa vipimo nkaenda maabara nkapima...
  8. KingKacha

    Ipi njia rahisi kupokea fedha kutoka nje?

    umeshika pabaya mzee
  9. KingKacha

    Ipi njia rahisi kupokea fedha kutoka nje?

    umeona uje unye mavi yako ya kirangi hapa? hujaona sehemu zinginye za kunya?
  10. KingKacha

    Ipi njia rahisi kupokea fedha kutoka nje?

    MoneyGram naona unapokea kiasi kamili. makato ya moneygram na western union naona yanalingana but western union wanakupa kiwango kidogo.
  11. KingKacha

    Ipi njia rahisi kupokea fedha kutoka nje?

    TEAM Jmp watakata 7500/= Unaonaje?
  12. KingKacha

    Ipi njia rahisi kupokea fedha kutoka nje?

    Jamaa uliyeniambia Word Remit na wave nmeona ntapata 671,000 nakushukuru.
Back
Top Bottom