Ipi njia rahisi kupokea fedha kutoka nje?

KingKacha

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
118
Reaction score
120
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona western union wana makato makubwa..
Imagine kwa dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300 ikiwa thamani ya fedha ni 679,879 inamaana zaidi ya 57,000 zinapotea. wakati huo huo washamkata $7.0 kama gharama za kutuma hiyo pesa.

Je? Kuna namna nyingine?. Naombeni uzoefu
 
Wameanza lini kukata hela hao western union? me nilikuwa naenda na kupokea mzigo ukiwa kamili hauja kutwa hata senti
 
Kuna njia mbili ya cash na bank account. cash exchange yake 2100 hivii wakati bank account ni 2200. Sasa ya benki ndo inaleta kiasi kamili. lakini naona mabenki yanatoa cash pay tu
 
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona western union wana makato makubwa..
Imagine kwa dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300 ikiwa thamani ya fedha ni 679,879 inamaana zaidi ya 57,000 zinapotea. wakati huo huo washamkata $7.0 kama gharama za kutuma hiyo pesa.

Je? Kuna namna nyingine?. Naombeni uzoefu
Kuna service nmesahau jina ila inahusisha mpesa, kuna jamaa yangu amewahi pokea thru mpesa from canada
 
Acha ubahili, mwambie atumie western Union, kwani wakikata elf 57, nawe ukapata laki sita, tatizo nini?. Kumbuka 'Ukitaka kula, lazima uliwe pia: by JK Ukimzungusha sana kutafuta njia isiyo na makato, utaikosa hiyo laki sita. Huko nje hawana muda wa kupoteza kama bongo
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona western union wana makato makubwa..
Imagine kwa dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300 ikiwa thamani ya fedha ni 679,879 inamaana zaidi ya 57,000 zinapotea. wakati huo huo washamkata $7.0 kama gharama za kutuma hiyo pesa.

Je? Kuna namna nyingine?. Naombeni uzoefu
 
Nashukuru ndugu yangu. Ubahili ndo maisha. We unajua pesa ni ya nini? Nashukuru kwa maoni yako ndugu. Unadani hizo pesa zisingefanya kitu?
 
Jamaa uliyeniambia Word Remit na wave nmeona ntapata 671,000 nakushukuru.
 
jaribu Maney Gram pia

MoneyGram jana(jumamosi) kutuma pesa Russia ($1200) wamenikata kama 224000 ambayo ni zaidi ya $100 ili yeye mpokeaje akapate $1200 kamili, sijajua sasa kama kupokea inakuwaje upande wa kwetu huku
 
MoneyGram naona unapokea kiasi kamili. makato ya moneygram na western union naona yanalingana but western union wanakupa kiwango kidogo.
MoneyGram jana(jumamosi) kutuma pesa Russia ($1200) wamenikata kama 224000 ambayo ni zaidi ya $100 ili yeye mpokeaje akapate $1200 kamili, sijajua sasa kama kupokea inakuwaje upande wa kwetu huku
 
MoneyGram jana(jumamosi) kutuma pesa Russia ($1200) wamenikata kama 224000 ambayo ni zaidi ya $100 ili yeye mpokeaje akapate $1200 kamili, sijajua sasa kama kupokea inakuwaje upande wa kwetu huku
Kutuma nje ta Bongo siku zote ni gharama kwani pale inakuwa kama unanunua dola. Kupokea ni rahisi zaidi kwani inakuwa kama unauza dola.
 
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa?
Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k
Nkaanza kufuatilia naona western union wana makato makubwa..
Imagine kwa dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300 ikiwa thamani ya fedha ni 679,879 inamaana zaidi ya 57,000 zinapotea. wakati huo huo washamkata $7.0 kama gharama za kutuma hiyo pesa.

Je? Kuna namna nyingine?. Naombeni uzoefu
Kuna njia tatu ambazo kwangu nazitumia
1. MoneyGram
2. Western Union
3. World Remit.
World remit fedha unaweza kutuma kwa option ya mchukuaji kwenda kuchukuwa kutoka kwa agent au zikaingia moja kwa moja kwenye TigoPesa. Gharama hutofautiana kwenye kila njia na kulingana na siku. Cha kufanya: Huyo mtumaji au wewe aingie kwenye site ya kila agent na afanye calculation ya gharama atakazotozwa kwa kila njia. Itakayokuwa rahisi zaidi siku hiyo basi aitumie.
 
Back
Top Bottom