Recent content by kingito

  1. kingito

    Sekretariet ya ajira kunani matokeo ya Walimu? Yamenikatisha tamaa baada ya walimu wakongwe kufeli mtihani wa Kiswahili

    Wapuuzi hawa Wanawapotezea walimu muda na gharama za usail kumbe wana watu wao tayari
  2. kingito

    Sekretariet ya ajira kunani matokeo ya Walimu? Yamenikatisha tamaa baada ya walimu wakongwe kufeli mtihani wa Kiswahili

    Mimi ni mwalimu tarajali mwenzenu wa level ya IIIA, ila kwa matokeo ya kiswahili yamenikatisha tamaa sana, hasa baada ya kuona waalimu wanaofundisha secondary somo la kiswahili kwa miaka zaidi ya mitatu wamefeli. Hii ikanifanya nifanye utafiti mdogo usio rasmi na nipo tayari kukosolewa kama...
  3. kingito

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Una hilo tangazo mkuu Tuone duties and responsibilities
  4. kingito

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii post inahitaji watu wangap??
  5. kingito

    Uzi maaluumu wa kupeana hints za hii kazi wanayoenda kufanya interview "Editor II" Taasisi ya elimu (TIE))

    Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa? Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi? Hii...
  6. kingito

    PreGE2025 LGE2024 Askofu shoo ni kama amepoteza mwelekeo, hajui anataka nini

    Salaam wanaforum wenzangu Wiki chache zilizopita tulishuhudia askofu Shoo akimnadi Rais Samia kuwa aongezewe miaka mitano tena huku akisema huyu mama amefanya mambo makubwa sana katika kipind hiki alichokaa madarakani Soma pia: Kuelekea 2025 - Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais...
Back
Top Bottom