Recent content by Kingengame

  1. K

    JamiiForums Tanzania Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Hivi' ni' kweli' Wamiliki wa Vituo vya Mafuta hawakuweza kununua EFDs mpaka wasaidiwe na Serikali!? Au ni mwendelezo wa utani' waliokuwa wamezoea kufanya awamu' zile' za kale. Hawajui ya kuwa; ya kale yamepita, na tazama Sasa yamekuwa Mapya'? Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Masahisho kidogo, maneno: laggage ya kistaarabu, yasomeke: lugha' ya kistaarabu. Sometimes Android dictionary inaharibu maneno yetu ya kiswahili kwa spell check. Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Nadhani tatizo kubwa zaidi hi kutaka ku- comment kwa' Kila thread hata Kama huna' uwezo wa kuelewa wazo kuu' liliwekwa kwa' mjadala. Sasa ikiwa huwezi kufuatilia hata taaarifa za habari za ndani' tu', utawezaje kuchangia mada' zinazopostiwa!? Na ni Nani atafanya kazi' ya kukusaidia' Maamuma'...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Kama huja isikia habari hii' usichangie. Sio lazima utoe maoni kwa' Kila hoja. Just assess your competencies and contribute appropriately. Bado nakutegemea dogo..... Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Wamiliki hawa' wamedai hawana fedha za kununua EFD machines Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Huyu Mwenyekiti wa TAPSEA analeta utani'. Wafanyabiashara ndogondogo wengi wakiwemo wenye' maduka madogomadogo kabisa wameweza kununua EFD machines. Sembuse wa' watembelea mashangingi!? Utani' mwingine hauna tija kwa' kweli'. Wewe' Mwenyekiti wa TAPSEA acha utani'. Watu wana" uchungu na Nchi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

    Na Hawa PeaceCorps wanaosambazwa vijijini mwetu ni akina nani!?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wapenda mabadiliko tuwe makini na wachambuzi wanaoeneza propaganda

    Wewe Mwenyewe ni CCM, nani asiyekujua
  9. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongea na Waandishi wa habari, anaendelea Vizuri

    Tumuombee apone
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

    Ameshika nini mkononi? Mbona kama Bastola, kwani yeye ni Polisi? amevunja sheria
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Akili ndogo kama yako popote pale ulipoiweka haitaweza kumwelewa Polepole. Hatuna namna ya kukusaidia
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Wewe fikiri kama mtu mwenye Ubungo! Tuna angalia picha kubwa ya mwelekeo wa taifa letu, maswali ya Msigwa hayakuwa na content. Anadhani sisi hatujui alivyohujumu kondoo wake mpaka wakasambaratika? Anyameze tuzungumze maslahi mapana ya Taifa na Jinsi mafisadi wanaosafishwa wanavyoweza kuliokoa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Huyo Mchungaji wenu sijui huwa ana mchunga nani. Huwa hana uwezo wa kuandaa hoja hata ungempa mwezi mzima Library. kama anatolewa kamasi na chiku abwao angeuwezaje mziki wa Polepole?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Msigwa hakujiandaa. Polepole ni kifaa na kielelezo cha Uzalendo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani

    Hivi huwa mnalala mchana? Au mmewezaje kuota kuwa uteuzi wa hawa Jamaa ni wa Muda Mfupi. Mtasubiri sana na hayo Makapi mliyokusanya.
Back
Top Bottom