Recent content by KingdomMind

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lilikuwa ni kosa kubwa kuifanya Dodoma makao makuu ya nchi

    Mawazo ya kimaskini haya ndugu.. Dubai Ina hali mbaya zaidi kuliko Dodoma na bado ni kitovu Cha biashara Duniani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

    Kuna watu hawajaelewa decillion ni nn na wanaleta ubishi humu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Voucher ya application ya vyuo kupitia TCU

    Habar zenu wana jamvi.... Kwa yeyote mwnye uhitaji na vocha ya kuapply chuo kupitia TCUyaani FRESH FROM FORM SIX na wanataka kuendelea awasiliane nami kupitia 0659753377 Bei si sawa na na ya bodi discount ipo... Ahsanteni.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya matusi yote, sasa nimekuwa bosi wake ofisi moja, je nimfukuze kazini?

    Ni kama hicho cheo hakikufai....huwez kuwa na mamlaka then ukawa mtu wa emotions kiasi hicho.
Back
Top Bottom