kama kuna anaefahamu mkoa wa tanga kuna site ngapi za vodacom na airtel na ngapi ni 2G na 3G katika kila wilaya. naomba msaada plz kama kuna mwenye info zote hizo nasaka ajila kampuni moja ya mawasiliano sasa kabla sijaenda huko tanga wamenitumia niende nainfo hizo kama challenge.mimi niko...
kazi ni utumwa asilimia kubwa ya sisi vijana nikushindwa kuthubutu na kusongambele na hii husababiswa na uoga na kutokujiamini wewe umeshathubutu sasa songambele ajira ni utumwa na unyanyasaji tu.kila la kheli kaka
MSHALE KWENDA PORINI HAIMAANISHI UMEPOTEA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.