Sawa, lakini si kwa kiwango cha kukaa kimya wanapotoweka watu miongoni mwetu. Wakati mwingine ni vizuri kufikiria kwamba ingekuwa wewe ndiye ndugu, mume, mke au mtoto wa aliyetoweka ungefanya hicho unachoshauri. Anayejua maumivu ya kiatu ni mvaaji. Ninamwomba Mungu awape hekima na utu viongozi...