Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,681
- 119,317
Wanabodi,
Hili ni bandiko ment for Great Thinkers Only. Hatutaji majina.
Maneno haya "Kinyago Uchonge Mwenyewe Halafu Kinakujaje Kukutisha?" ni maneno ya shujaa fulani wa taifa hili.
Anachotakiwa kufanya sasa ni jambo moja tuu, asiongee jambo lolote na yeyote, atulie tu, Jumatatu akakabidhi ofisi ya watu, na kutoka moja moja kurajea jimboni kwake, kwenda kuzungumza na wapiga kura wake kuomba ridhaa yao, kisha ndipo afanye the needful, atangaze rasmi uamuzi wake kwa kuutangazia kule, ndipo arejee jijini Dar es Salaam na kupokelewa kwa mapokezi ya kishujaa. Hapa atakamilisha process ndipo afanye Press Conference.
The time is now or never ili litimie lile neno la Mwalimu Nyerere, upinzani imara utatoka CCM!
Tutamshawishi yule Babu apumzike, with media support on your side, 2020 is the time ya kutimia kwa maneno ya unabii wa muasisi wa Taifa hili Mwalimu Nyerere.
Hongera sana kwa ushujaa huu, haiwezekani Kinyago Uchonge Mwenyewe Halafu kije kukutisha Mwenyewe!
Just go go go, the time is now or Never!
Paskal