pamoja na kumlaumu lowasa sana nani anaweza kutaja amekamatwa wapi na kosa na hajapelewkwa kustakiwa na je kwa nn tunamshupalia mtu fisadi na yet anataka uraisi??
Unawezaje kugombea uraisi wakati wewe ni fisadi haiingii akilini kwamba mtu anataka kwa nguvu kugombea urais wakati yeye ni fisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.