Recent content by king'anya

  1. K

    Natafuta mchumba

    it is good. contact with ne through marwajunior2005@yahoo.com for more details concerning your request
  2. K

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    simba wapo juu wanaoiponda wana chuki nayo binafsi. pia nyiwe wana arsenal timu yenu mbovu haina uwezo wa kupambana na timu zinatoka kuchukua ubingwa. kwemye mbio za ubingwa jitooeni kabisa
  3. K

    Katibu Mkuu wa TLP John Komba afariki

    nawapa TLP pole kwa kufiwa na katibu mkuu wao hasa kipindi hiki kigumu cha kuelekea uchaguzi mkuu.
  4. K

    Kero za Muungano na utatuzi wake - Sehemu ya Pili

    ni muhimu kuwa na serikali ya tanganyika kwani kila mwaka zanzibar wao husherekea siku ya mapinduzi na wana rais wao lakini sisi watanganyika tunasheherekea 9 disenba wakati serikali ya tanganyika haipo. huu ndo wakati wa kuunda serikali ya tanganyika na itasaidia kuupunguza kero zinazoitwa za...
  5. K

    Katibu Mkuu wa TLP John Komba afariki

    mimi hii ndio mara yangu ya kwanza kujiunga kwenye jamii forum,hivyo naomba mnipokee na tuendelee kupashana habari. asanteni sana
Back
Top Bottom