Recent content by king77

  1. king77

    Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Ww sema hivo tu siku ukikupata utasaga meno! Kwenye corona hakuna siasa
  2. king77

    According to World Happiness Report 2020, these are the 10 happiest African countries/cities in the world:By Nzekwe Henry March 20, 2020

    City/Country (Global Ranking) Algiers/Algeria (93rd) Niamey/Niger (100th) Port-Louis/Mauritius (104th) Tripoli/Libya (111th) Benghazi/Libya (112th) Johannesburg/South Africa (120th) Mogadishu/Somalia (123rd) Freetown/Sierra-Leone (125th) Accra/Ghana (129th) Cape Town/South Africa (130th) In...
  3. king77

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    trachomatis, You are very right indeed For an iron to be strong it must be subjected under great heat to be chuma cha pua (kama cha leri ambacho huwezi kukiform katika kitu kingine
  4. king77

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Don't trust with Zitto look on History! Chama gani cha upinzani wa kweli kilichopewa nafasi za uongonzi awamu hii ya tano? If not ACT wazalendo?be realistic otherwise you don't have intrinsic love to ur country
  5. king77

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Watch out one day you will come to regret to your comments! today you are a hot cake bcoz ur active user but when u become used spare is when you will realize you were wrong
  6. king77

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Wewe sio chadema umetumwa pia ila ipo siku utakumbuka maneno yangu kua dikteta hana rafiki pale wewe utakapokua used spare
  7. king77

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Ni kwel kbs huyu Sumaye ni usalama wa taifa so alitumwa kukidhoofisha chadema! Pia ikumbukwe kua chadema ni chama cha wapigania haki za binadamu(freedom fighters) ambacho kinatakiwa kua na viongozi imara wasioteteleka wala kuogopa kufa!
  8. king77

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    You are very right! sio yeye peke ake kuna wengi walikuja kimkakati ili waje wakivunje nguvu Chadema
  9. king77

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Ruge Mutahaba ametutoka....This is beyond sad. Dah roho inaniuma sana Mungu awatie nguvu ndugu zake, watoto wake na wafanyakazi wa clouds.... Tanzania has lost its biggest entertainment genius. R.I.P legend. R.I.P Creator and founder of Tanzania’s entertainment industry. Tanzania and its...
  10. king77

    Ubalozi wa Tanzania utoe pole na kulaani mauaji huko Marekani!

    Ww unamchezea Mungu eeeh! ww subir utaona maana maovu unayotetea yatakugeuka na kizazi chako. malipo ni hapa hapa duniani. Kama unafurahia mauaji ya watu wasio na hatia basi damu yao i juu yako, huna tofauti na aliyenyanyua upanga/silaha na kuwaua wasio na hatia
  11. king77

    Ubalozi wa Tanzania utoe pole na kulaani mauaji huko Marekani!

    Ww ndo uokolewe maana umeshatekwa na roho ya kishetani maana kushabikia na kufurahia mauaji ya kikatili ni dhahili kwamba huna moyo wa kibinadamu tena." you have acquired a satanic spirit which drives you to madiness & perishment"
  12. king77

    Ubalozi wa Tanzania utoe pole na kulaani mauaji huko Marekani!

    Huyu cjui ndo anajiita "" Nyundo 2017 "" Mungu wa majeshi hatakuacha salama kwa Jina La Yesu Christo wa Nazareti! Ulaaniwe kwa matendo yako maovu na kauli zako za kishetani! Damu ya waliouawa kikatili iwe juu yako ikutafune wewe na familia yako yote milele na milele!Nakutia upofu na kukufunga...
  13. king77

    Ubalozi wa Tanzania utoe pole na kulaani mauaji huko Marekani!

    Na ulaaniwe na uzao wako wote kwa jina la Yesu maana imeandikwa litakalofungiwa duniani na mbinguni limefungwa!
  14. king77

    Miili ya wanajeshi 14 waliouawa DRC yawasili katika uwanja wa ndege wa jeshi, kuagwa Lugalo Alhamis Desemba 14

    INAUMA SAANA KUONA TUNAPOTEZA MAKAMANDA WETU. KWASASA KINACHOTAKIWA NI KUONGEZA UELEDI NA KUJUA VIZUR WAASI HAO WANA NGUVU KIASI GANI ILI TUSIENDELEE KUPOTEZA VIJANA WETU. RIP
  15. king77

    Tetesi: Marekani yafanya mazoezi Korea kusini hali ya wasiwasi imetanda

    Kim jong sio mtu mzuri anawezamka akaangamiza dunia sababu ya ukatili na ujeuri alionao.
Back
Top Bottom