Recent content by King708

  1. King708

    Natafuta mchumba

    Ahsante. Na wewe pia ubarikiwe
  2. King708

    Natafuta mchumba

    Ahsante mkuu nimefanya marekebisho
  3. King708

    Natafuta mchumba

    Habari, Nimepata recommendation ya kujaribu JF ili kutafuta rafiki wa kike. Mimi ni kijana, mwenye wa kadri ya miaka 30, nafanya kazi Dar, na nitapendelea kupata msichana/mwanamke anayejielewa kwa maana ambaye anahitaji kuwa na mahusiano ya msingi na yenye makusudio ya kuleta matunda kimaisha...
  4. King708

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Huwa nashangaa miaka hii ya karibuni wanadada wanaomba pesa mno yaani ukitongoza tu balaa
  5. King708

    Natafuta mchumba/rafiki wa kike

    Ahsante! Ubarikiwe
  6. King708

    Natafuta mchumba/rafiki wa kike

    Habari ya leo! Niko Dar, nafanya kazi, niko single, sina familia, najitegemea, nina miaka 34. Natafuta mchumba mwenye kujiheshimu, anayejua anataka nini maishani mwake, aliye kwenye umri kati ya 22-41, mwenye ajira, aliyejiajiri au mwanafunzi ila mwenye misimamo yake, haijalishi kama ana...
  7. King708

    Natafuta mpenzi wa kuwa nae nimechoka kuwa mpweke

    Jamaa anatafuta demu sasa mbona wanajibu mademu au midume mipunga
Back
Top Bottom