,,,,,,,,,Na waache ujinga,hivi Meli hii hapo chini muda woote huo wa UHAI wake ilikua na inafanya kazi zake NCHINI Malawi????,,,,,uelewa ni kitu muhimu sana,hivi boda la ZIWA lenye mawimbi makubwa kama haya si litakua kila siku linahama hama kila siku,nani atakubali kuwa na MPAKA unao hama hama...