Mtoa mada anatabia za kimaskini japo hujifanya kuwachukia masikini wenzake kwa waliona na unafuu wa kipato kutoa ni kawaida Tena zungukia hadi vituo vya watoto yatima toa misaada kublock watu ni umaskini kiwango Cha ufukara
Wengine wazazi waliotangulia mbele ya haki wanatamani wangekuwepo wawasaidie ila ndio hawapo Tena kwa sie ambao bado wazazi wapo saidia bila kuombwa kama Baraka zipo na laani ipo achana na mtoa post aliyelaaniwa kitambo anataka kushawishi na wengine wajiunge naye , haya mambo ya social media...

Fanya tafiti kidogo tu nchi zote zilizotuzunguka majeshi yao yana project kuanzia Rwanda hadi Kenya Egypt jeshi leo ndio wamiliki wa hotel kubwa kubwa SA pia Jeshi linamiliki hata hapo nchini zipo project kubwa vipo viwanda vya hawa jamaa sema uzi umeuleta kimbea flani ili upate wakosoaji kama...
Jeshi limefanya kosa kubwa kumpa usemaji mtu mwenye uelewa mdogo wa current issues hakutakiwa kutoa data sababu namba hazidanganyi hata Afrika hiyo namba hatujafika yeye anasisitiza sio Afrika duniani kwa ubora upi tuizidi German, France, nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.