Recent content by king suleman

  1. king suleman

    Ameniomba Msamaha lakini ameniwekea Masharti

    Wale ni wazaz wako pia sio wazazi wa mkeo tu, So umewaadhalilisha wazaz wako pia Kaombe radhi Kuomba radhi sio ujinga ni uungwana
  2. king suleman

    Mwl. Mwakasege: Kuna maamuzi makubwa yatafanywa na viongozi na yatawashangaza, tunahitaji waombaji wa kimkakati

    Namshukuru Mungu kwa kupata japo kipande Cha mkate, ASANTE mleta mada, humu Kuna watu masikio yao hayasikii na macho yao hayaoni , Wamefumbwa , Mungu anisaidie niombee Hili jambo
  3. king suleman

    Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

    Sis wenye akili smart ndo tunabaki apa Africa especially Tanzania, tunaijenga ili wajukuu zako waje wapende kuishia apa Maana ata uko unakosema ni pazuri hapakushushwa toka mbinguni, Kuna watu walibaki pale wakaamua kupajenga Leo wewe unapaita pazuri , Sema Nini ! liFe hAs opTionS, We nenda...
  4. king suleman

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Moja ya story inayohuzunisha Sana, Cha muhimu achana na ndgu , saidia kidg Kwan we ukifa nani, Saidia kiasi tu
  5. king suleman

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Ngoja nibadili avatar niendeleze huu Uzi, niwakate kiu wanangu, Kwan shigongo sh ngap,
  6. king suleman

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Jf ni jukwaa la watu welevu Sana , Sasa hizi ng`ombe sijui zinatokaga wap Maxwell ondoa kunguni hii
  7. king suleman

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    We kama huna iphone tulia post yA kijnga kweli kweli,
  8. king suleman

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Au aipeleke Azam , tujue moja [emoji6]
  9. king suleman

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hii story nimeipenda Sana, Hey don't stop aseee weka vitu
  10. king suleman

    Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Ñna hasira acha nipite tu bila ku comment chochote
  11. king suleman

    Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

    Kujaribu biashara, after completing school Kujitolea mahali kulingana na career yake, Hvo yan
  12. king suleman

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Bonge la story , 3ndelea bbu
  13. king suleman

    Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

    Mshilikishe Mungu yaan mpe yesu maisha yako , okoka Changamoto lazima upitie ili ujue au uwe sharp minded, kwenye maeneo flan flan, Mtoto mdogo anapojifunza kutembea, ni lazima aanguke, Sasa sio kila shimo lazima uangukie mfano, Kubet Wanawake Pombe Hayo unayaona kbsa Ila angukia kwenye vitu...
  14. king suleman

    Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

    Ata Adam alipewa bustan ailime na iatunze, wewe unataka upate Hela tu ,hujui ata huo uzima ni Mungu ndo amekupa, kuhusu kutibiwa na wahindi , unamaanisha Mungu hakukutibu Ngoja uumwe Tena best
  15. king suleman

    Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

    Kama hawajamleta shida yoyote aendeleee hapohapo, mpaka atafungue kampuni yake. Please please asiache apo kama hakuna ttz lolote
Back
Top Bottom