Recent content by King Shaat

  1. King Shaat

    Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    Pitia habari katika link hii hapa chini kufahamu kwa nini miili ya marehemu hao 5 haiwezi kupatikana. Check out this story: Why Bodies of Titanic Sub Crew Will Likely Never Be Recovered, According to Ex-Navy Doctor from Flipboard.
  2. King Shaat

    Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    Hayo yote nafahamu mkuu, changamoto ni kuweka kwenye Kiswahili.
  3. King Shaat

    Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    Kwa wanavyosema wataalam, kufa kwao kulikuwa kwa haraka sana, zaidi ya mwendo wa taarifa zinazobebwa na mishipa ya fahamu kuwasilisha nini kimetokea...hivyo kama ni nafuu yeyote, kufa kwao kulikuwa kwa haraka sana na kusiko na maumivu yanayoweza hisiwa na marehemu. Na kuhusu miili yao, kwa...
  4. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Dah! Nikimchekigi Dame napataga wasiwasi atamaliza career yake bila hata Finals appearance asee.
  5. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Where's Haden when you need him!?
  6. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Asee sikutegemea this rout
  7. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Hahaha [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Asee naonaga siku zote East ni softer kuliko West mkuu. Unaona mitanange ya West ilivyo asee?! [emoji23] Juzi kweli Tatum aliplay clutch game Safi sana dakika za mwisho.
  8. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Duh! Asee sizani. West Nuggets na Lakers Ni balaa.
  9. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Madevu, Embiid na Maxey wanaweza wakakaza mkuu.
  10. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    GSW tushatolewa.
  11. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Still a die-hard GSW fan here.
  12. King Shaat

    The 2019 NBA Playoffs

    Dah asee hii thread yetu nilisahau miaka Sasa. Wakuu habari za masiku?
  13. King Shaat

    Mitihani mikuu mitano kwa gavana mpya wa BOT – Emmanuel Tutuba

    Dah, masta umeandika uchambuzi mmoja una madini sana. Na umeandika katika namna mtu yeyote yule anaweza kuelewa na juu ya mada muhimu sana kwa maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla. Kudos! Sent from my POCOPHONE F1 using JamiiForums mobile app
  14. King Shaat

    Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    Shule ya Brock Lesnar nini! [emoji23]
  15. King Shaat

    Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    Hiyo ya mwisho ina kiitikio... "mwenzenu nilikataa" [emoji1787]
Back
Top Bottom