Recent content by king Patrick20

  1. king Patrick20

    JamiiForums Tanzania MAAJABU YA SABUNI ZA MAJI/loppy liquid soaps.

    Duuu bei ipoje
  2. king Patrick20

    JamiiForums Tanzania MZANi WA DUKANI

    Mzani Used unaitajIka , uwe mzina katika hali nzuri na usiwe na tatizo lolote njoo picha whatssap 0752120647 tumalize biashara. Location kibaha
  3. king Patrick20

    JamiiForums Tanzania Je, sheria inasemaje unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao?

    Kuna jamaa zangu wanalalamika wanapigwa picha nyakat za usiku wakiwa kazin kwao ,
  4. king Patrick20

    JamiiForums Tanzania Je, sheria inasemaje unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao?

    Natanguluza shukrani je sheria zipoje pale unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao wa whatssap na zingine kubandikwa kwenye ubao wa matangazo zikionyesha umesinzia nyakati za usiku. Je kama umefanyiwa ivi unaweza chukua hatua zip?
  5. king Patrick20

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufahamu taratibu za kupata barcode

    Natanguliza shukran naomb mnifahamushe taratibu na ghalama za kupata barcode kwa ajili ya bidhaa zangu.
  6. king Patrick20

    JamiiForums Tanzania Jipatie Mbuge lavender hand wash(anti bacteria) kwa bei nafuu

    Thanks, nitaufanyia kazi ushauli wako
  7. king Patrick20

    JamiiForums Tanzania Jipatie Mbuge lavender hand wash(anti bacteria) kwa bei nafuu

    Jipatie Mbuge lavender hand wash(anti bacteria) kwa bei nafuu .. Jumla Tsh 23000 dozen na rejareja Tsh 2500 watu wa DSM na kibaha unaletewa adi mlangon na mikoan tunatuma .. Whatssap 0752120647, 0658806841. Mbuge has an unique formulation which gives your hand a clean and moisturizing hand wash...
Back
Top Bottom