Recent content by king online

  1. K

    Kwa Bukoba wapi naweza pata miwani ya kuzuia mionzi

    Kama nilivyoeleza hapo macho yangu yanauma ninapokuwa nafanya kazi zangu ambazo zinanilazimu kuwa kwenye PC kwa muda mwingi sasa nahitaji kujua kwa hapa Bukoba wapi naweza ipata Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Nina tatizo la macho kuuma linanikosesha raha napokuwa kazini

    kdg napunguza maumivu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Nina tatizo la macho kuuma linanikosesha raha napokuwa kazini

    Hellow viongozi, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo Binafsi ni kijana 20s kazi yangu inanilazimu kuwa kwenye computer kwa muda mwingi mpaka kwa masaa (12) tatizo ni kwamba macho yangu yamekuwa na matatizo katika siku za hivi karibuni nikitazama kwenye kompyuta macho yanakuwa yanauma na...
  4. K

    Naomba kujua namna ya kuedit simple videos kwa PC

    ngoja nianze na hizi ndogo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Naomba kujua namna ya kuedit simple videos kwa PC

    ahasante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Naomba kujua namna ya kuedit simple videos kwa PC

    mkuu hizo program zina uwez wa ku run kwenye kifaa kdg km hicho nilichotaja juu? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Naomba kujua namna ya kuedit simple videos kwa PC

    Wakuu me ni mgeni kwenye ulimwengu wa pc ndo nimenunua ila pc yagu ni ndogo HDD 120gb Ram 2gb Sasa nilikuwa nataka kuuliza ni program ipi inaweza nisaidia ku edit simple videos bila kuongeza effect zozote Kama ni ndio inawezekana Basi program iwe na uwezo wa kufanya haya 1-ku cut clips...
  8. K

    Anayefahamu fundi wa kompyuta Bukoba Mjini anisaidie

    Wakuu kama kinavyojieleza kichwa cha habari nahitaji fundi mahiri wa kompyuta. Laptop yangu jana ilikuw inafanya kazi vzr tu ila leo asubuhi nilipotaka kuwasha ikakataa nikanunua chaja mpya pia ikakataa kama kuna anaejua shida au fundi hapa bk mjin aniunganishe nae. aina ya pc ni Hp Sent...
  9. K

    Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

    wakuuu ninahitajin kujifunza animation wap pahala sahihi pa kujifunza Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Kwa mliofanikiwa kuzamia nje naomba njia maisha bongo yamenikataa kabisaa nataka nipate hata pa kubeba mabox

    Dah bandugu n kwel mafanikio sio kwa kila mmoja ila inapofikia hadi mlo ukawa mgumu sasa hapo ni bora kufika china au popote nipate hela ya kujikim natanguliza shukran ndg zangu hebu nisaidien kwa hili mambo yanaachia kwa muda huo huo yanabana mpk sasa nikivuta pumzi nahisi maumivu kwa majanga...
  11. K

    Jifunze Computer Programming au ongeza maarifa hapa

    Hiii platform nimeanza kuitumia week moja mpk Sasa but nimejikuta nikiengeza Kasi katka Safari yangu ya kujifunza programming. Mara ya Kwanza ilikuwa nikiwa na swali nazunguka naloo weeeww huko Google na mwisho sielewi na kuwatumia swali programmer ninaowafaham ila hakuna hata mmoja ananijib...
  12. K

    Jinsi ya kuhost pages (kuunganisha webapge na kuwa website

    Ahasante Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Jinsi ya kuhost pages (kuunganisha webapge na kuwa website

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Mimi ni mgeni katika hii industry nimeweza kujifunza HTML na CSS na mpk Sasa nimekuwa na uwezo wa kutengeneza webpage angalau kidogo shida yangu ni nahitaji niweze kutengeneza ki website yani (niunganishe pages na kuzihost mtandaoni) ili nijipime uwezo wangu na...
  14. K

    Naomba kujua namna ya kutumia kifaa hiki

    Hahahaah hahahahaah dah ama kwel nataman ushamba ni hatariiiiii Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom