Nina tatizo la macho kuuma linanikosesha raha napokuwa kazini

king online

Member
Mar 30, 2018
34
17
Hellow viongozi,

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo

Binafsi ni kijana 20s kazi yangu inanilazimu kuwa kwenye computer kwa muda mwingi mpaka kwa masaa (12) tatizo ni kwamba macho yangu yamekuwa na matatizo katika siku za hivi karibuni nikitazama kwenye kompyuta macho yanakuwa yanauma na sio kuniwasha bali yanauma hayatoi machozi muda mwingine yanauma mpaka nainama au nabadili mwelekeo wa shingo (kutokana na maumivu nayohisi).

Wengi wamenishauri niachane na kukaa kwenye kompyuta kwa muda mrefu ila bahati mbaya ndio kazi yangu naomba kama kuna njia ya kitaalamu inayoweza nisaidia mnijulishe wadau

NATUMAI NITAPATA SOLUTION KUTOKA KWENU WAKUU

MACHO YANANINYIMA UHURU WA KUFANYA MISHE ZANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia kuna miwani maalum ya kublock huo mwanga wa computer unaosababisha eye strain labda jaribu kuiagiza online
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom