Viongozi wa kuteuliwa na rais seems like wote wako juu ya sheria, inaonekana kama kuna order imetoka somewhere kuwa wote wakatae kutii hyo order ya mahakama kuu ya Tanzania na c mahakama kuu ya chadema. Tukiendelea kwenda kwa kuoneshana ubabe wa namna hii kwenye nchi inayoitwa nchi ya demokrasia...
Hapo m naona international law inaaply zaidi ya sharia za nchi maana hisa izo alinunua kwa raia wa kigeni na tigo ilikua haijasajiliwa kwenye soko la hisa la dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.