Recent content by King Menerick ii

  1. K

    JamiiForums Tanzania Karanga leather industry comp ltd

    Uingiagi mtandaoni nin majina yalitolewa walioitwa kazini ilikuwa february mwaka huu zaidi ya watu 200
  2. K

    JamiiForums Tanzania Karanga leather industry comp ltd

    Tangazo lilitolewa tena january 20 ila wa mwanzo walifanya interview desemba wakapata machine operators na wakatoa tena tangazo january 20 nlituma sikuitwa ata kweny interview
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza nafasi za kazi mbalimbali 574

    Watu tunaambiwa eti interview CBE mwanza siendi mim
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Acha kiherehere wew ujaambiwa mambo ya mwanasheria kuna matangazo uwa yanaelekeza kabisa habari za mwanasheria kama ujaambiwa acha kimbelembele
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    ili Tatizo mnaweka email na password za email ucreate pasaword nyingine kwa email ile ile
  6. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    Pale unapokuwa unajaza ukikosea system yenyew inakuelekeza so sijui mnakwama wap ?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani mwenye connection na Ma HR wa viwanda anisaidie kuniunganisha

    Nawasalimu sana mim ni kijana mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa nlizaliwa miaka ya 90's baba yangu alikuwa ni mfanyakazi wa idara ya maji miaka hiyo ila tulivoambiwa na mama yetu kuwa aliachaga kazi yey mwenyew baada ya kuacha kazi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    Hapa naona kujisajili hii ajira portal umekuwa ugonjwa wa taifa juz nmehangaishwa na dada flani siku nne mfululizo nikimuelekeza umiza sana kichwa na mim uwa sikubali kushindwa kumbe watu wa procurement wana maboard yao wanabidi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utendaji Mpanda interview wameripoti watu 800. Wanahitajika 16

    Ao waendesha usaili na kuleta upendeleo ni kujitafutia lahana tu mtu anatoka wapi huko mbwinde majembe kuinama na nauli anakopa alafu nafasi unampa mtu kwa magendo
  10. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza nafasi za kazi mbalimbali 574

    Kasome Qt
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 574 za kazi

    mjomba ata kusoma ujui ? Maana kila kitu wameelezea
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara company za ulinzi

    Amna vya Cv wala nini ata kesho ukienda ukifika unavalishwa gwanda na buti direct kwenda kulinda mshahara laki amsini ukiwa na tatizo ujaenda kazini bila kuwapa taarifa wanakata elfu kumi unaweza kaa ata miezi mitatu bila mshahara ika...
  13. K

Back
Top Bottom