Recent content by King Leon 1

  1. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Mimi ni mdau wa michezo kwaiyo niko kwaajiri ya maendeleo na kukuza tasnia ya michezo. Tujadiliane bila kuegemea upande wala mahaba na club ili tujenge
  2. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Ukweli uko wapi, weka basi
  3. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Kama hazina chapa ya kampuni ya MO Dewji basi inabidi tufuatilie nani katengeneza maana yawezekana wakawa wale maharamia wa mjini wanaopita mlango wa pili kujinufaisha na brand ya Simba. Turipoti kwa vyombo husika
  4. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Na hakuna kitu kinaua kasi ya maendeleo kama mali ya umma ila kuweka usiri ndani yake. Kama ivo sio sawa Izo kanga zina chapa ya MO pia au??
  5. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Mkuu kuongeza sifuri wakati pale mikataba imesainiwa na hela iko kwenye cheki. Makabiziano wameonesha wazi
  6. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Umeeleza vizuri ila swali Je kama wanatangaza kurusha roho tu asa vipi kuhusu TRA kwenye suala la kodi maana ukisema umeingiza billion 20 watakuja kukata kodi ya wewe kuingiza billion 20 na sio chini ya apo, Al kadharika na taasisi nyingine pia. Yaani huwezi andika umeingiza billion 20 afu...
  7. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Mbet mkataba ulikuwa ni billion 26 kwa 5 years na umefika mwisho
  8. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Taarifa za fedha ni izo tunazoona wanaingiza mbona ziko wazi ila matumizi ya fedha ndio hayako wazi ndio maana uleta maswali yasiyo na majibu. Ndio sababu kuna mjadala kama huu Simba inaingiza mabillioni ambayo yangeweza endesha klabu na kufanya maendeleo makubwa lakini ajabu ni mwekezaji ndio...
  9. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Kivipi MO awe na magi wake ikiwa sio profit? Nipe darasa maana mi najua gawio la mwekezaji lipo kwenye profit ndio kunakuwa na percent yake 41%
  10. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Kipi kibadirishwe ili kila kitu kiende sawa
  11. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Wafumbue basi washtuke
  12. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Kwani hakuna kamati ndani ya Simba inayohusu masuala fedha na matumizi?
  13. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Asante kwa kutuongezea
Back
Top Bottom