Recent content by KING-KONG

  1. K

    Hivi walimu tumeongezewa kiasi gani kwenye bajeti hii?

    aaahhh jamaa ana haki ya kuuliza bhana
  2. K

    msaada kwa anayeijua mgugu secondary schoo

    Big up kwa kumweleza ukweli maana hao jamaa wanamtisha tu huyo.
  3. K

    Natafuta mwalimu wakufundisha watoto wangu tuition-kigamboni

    Vizuri zaidi ungewapeleka boarding school maana usije pata mwalimu mwaribifu akawaharibu watoto wako.
  4. K

    Kero ya shule za serikali

    pole sana mzazi, ILA unaonaje ukichukua hatua wewe kama mzazi? maana muda unakimbia mno na shule zingine wameshaanza kusoma.
  5. K

    Msaada wa matokeo please!

    Wadau naomba mnisaidie kupata matokeo ya namba s.1799/0029 na s.2586/0003.
  6. K

    Help..help..help..please!!!!

    what are the impacts of ujamaa legacy in Tanzania?
  7. K

    Hawa ndio wasomi wetu wa vyuo

    inasemekana kuwa binadamu hatupo sawa kwahiyo ndugu wasikuumize kichwa coz wajinga cku zote ndo wanaoleta huo upuuzi.
  8. K

    Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

    Kama ni kweli basi TZ tunaelekea pabaya mno tukumbuke kuwa aman haiuzwi,,Inalilah wa inna lilah raajun imam wa znzbr
  9. K

    Msaada please on Metaphysics

    Metaphysically which one preced {start} between essence and existence? How?
  10. K

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Oya wadau naomba mnichekie namba S.2586/0003 please si unajua natumia cm za walinzi.
Back
Top Bottom