Recent content by King Kinanzaro

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

    Cm yng ni Nokia E 75
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi kwa simu

    Hayo watu wanayafanya na ni athari za mapokeo ya kasi ya sayansi na teknolojia na kuvunjika kwa mila na desturi zetu. Ulifanya la maana kuondoka coz u can lean by doing.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Njia ya kuzuia kufikia kilele (kupizi) haraka

    Huyu jamaa ametoa elimu ya ukweli ila nadhan hii inategemea na nature ya mtu mwenyewe make haya mambo yapo kisaikolojia zaid ndo mana ukipata mshituko au ukihis ki2 flan ambacho c cha kawaida inasinyaa hata km hujamaliza.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya interview OUT

    Naomba kuuliza Hiyo interview ni ile ya Open University waliyokuwa wanatafuta watumishi ktk kada mbalimbali ambayo walitangaza kama miez miwili iliyopita.?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Mimi nadhani tatizo ni mfumo make Mwl. J.K Nyerere alivyoanzisha ule mfumo wa Elimu ya ujamaa na kujitegemea alitaka tuish km jamii moja na mfumo uruhusu kujitegemea baada ya kumaliza shule, hapo ndipo tukaona masomo mbalimbali km sayans kimu, kilimo, biashara nk yalikuwa ni specialized subjects...
Back
Top Bottom