Recent content by king kakaa

  1. king kakaa

    Adha ya kamata kamata pikipiki Kariakoo

    Issue si kuvaa helmet wala pikipiki kukamilika ukinikuu vizuri kunamahali nimesema napenda wanavyo jali uslama wa chombo na mwendeshaji kero yangu n aina ya ukamataji Mfano kuna walitukamata mimi kofia ngum nilivaa pamoja na dereva japo nilikua naifuta jasho ingali pikipiki ikiwa inaenda...
  2. king kakaa

    Adha ya kamata kamata pikipiki Kariakoo

    Habari wakuu mimi ni kijana naishi Mikoa y kanda ya juu Kusini nimekuja Dar es Salaam Kama miezi mitatu iliyo pita namaanisha kukaa bila kuondoka Kwa muda mrefu. Japo huwaga nakujaga nakaa wiki nikimaliza kilicho nileta naondoka nilifanya hivi kwa muda mrefu. Sasa na kero moja niliyo ishuhudia...
  3. king kakaa

    Tatizo la ghafla la nguvu za kiume kupungua (kukosa hamu ya tendo la ndoa)

    Ni jamaa yangu kabisa na hata mambo ya JF haya jui suluhisho ni kumsaidia ningekua mimi nisinge sita kujisemea kwani hakuna ubaya wowote kujisemea tatizo lako tena hata sura na jina halisi sijulikani ningeogopa nini Mkuu Tumsaidie kijana mwenzetu ndoa yake ipo pabaya mkewe anamuwazia kumuacha
  4. king kakaa

    Tatizo la ghafla la nguvu za kiume kupungua (kukosa hamu ya tendo la ndoa)

    Niende kwenye Topic muhimu direct mimi King Kakaa na rafiki yangu tulie shibana sana jina Kapuni. Rafiki yangu huyo naishi nae jirani hapa mjini ila Mkewe mwajiriwa Mkoa mwingine tofauti na mumewe sasa Jana jioni bila kunificha alianza kunieleza yanayo msibu. Yeye ni Mtu wa Totoz sana sasa...
  5. king kakaa

    Ulijisikiaje siku ile mkeo alipokuambia ana ujauzito wako?

    Mimi siku ananiambia hajielew alikua anampango wa kwenda masomon Canada alipata scholarship kwa wafadhili fulan Sasa tulikua tupo Kurasini pale Uhamiaji tunashighulikia Passport akaanza mara nahisi vibaya mara sijui nn tukaenda kula kwenye vile vikantin vya nje kule Ile anakula nakumbuka Ali...
  6. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Siwezi kupingana na wewe ngoja nitafatilia Ila kwahili lilopo Mezani wenzetu wako mbali
  7. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Ila sio maarufu mimi nililenga umaarufu pia hata huyo Orengo hakuwahi kusimamia kesi kubwa kama hii
  8. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Kama ulisoma nilicho andika nimesema baada ya kufatilia kesi ya kina Mbowe Swala la kushinda kesi ngapi kwangu halina nafasi
  9. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Huwa naonaga michango yako humu ming huwa najiuliza huwaga unawaza chochote akilini mwako au upo kama muamzi ulio tobolewa Kesi walio ifuta ni akina Kibatala?
  10. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Mwamba sana kuna siku nilienda Ifakara kwenye mambo yangu nikasikia kule ndio kwao na Baba yake alikua dk
  11. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Wewe wa huko una Wajua? Nimepata ushuhuda wa watu wa mataifa mbal mbal wakiwasifu sasa kote huko kuna Miranda’s ya kijamii na vyombo vya Habari mbona hatukusikia
  12. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Mimi Binafsi kabla ya kesi ya Mbowe nilikua sikuwahi kuwafatilia kiundani Mawakili wale wa Mbowe ila baada ya kuanza kuwatetea akina Mbowe ndipo nilipo anza kuvutiwa na kuwafatilia. Kila nilipo kuwa naingia JF kufatilia live kesi ile basi nilikua naanza kusoma pale mawakili wa upande wa utetezi...
  13. king kakaa

    Hii Kluger New Model nimeilewa sana

    Sema we jamaa una dharau sana labda utoto au kutaka kujifanya mjuaji Angalia na maneno unayo yaweka kwenye adhara
Back
Top Bottom