Recent content by king joh27

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

    Ila machawa mnashidaa kweli na cjui kama mna marinda.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Na kwa akili yako inavooneka bado sana huwezi kusimama mkabishana kwa hoja na gwajiboy ubongo wa gwajima ni mkubwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

    Tumechoka na yanayoendelea ndani ya nchi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga wanamihemko

    UKijua mpira utapenda mpira na utauelezea mpira na sheria zake na kanuni ila ukikaa kishabiki hutakaa ujue mpira utazungumzia vitu vya ajabu kama hivi leo upepo unakubeba wewe unaona viongoz wa yanga wana mihemko ila upepo ukigeuka utaaza kukumbushia gsm anadhamini timu nane Msumeno unakata...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

    CYo kuikomaza team tu ila kwenye team yetu kuna baadhi ya wachezaji hawana ubora wa kucheza yanga kwa mfano beki za pembeni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kiwango kilichoonyeshwa na Yanga Zanzibar ,ndio uwezo wa timu yetu

    Mmmm..vip tena mbona kama umepanic mzee nwezangu waache waongee tu haitupunguzii kitu bali inatuimalisha
  7. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Dkt. Nchimbi

    Kwani papa kazikwa lini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siku ngumu sana kwa Yanga leo Simba inapoingia fainali ya kombe la shirikisho la CAF

    Nilishasema tofauti na kubeba kombe hamna jipya litatuumiza sisi wana yanga
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

    Unaongea kama masihara lakini kweli siasa nyingi jamani
Back
Top Bottom