Recent content by King In The North

  1. King In The North

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Maana yake ni kuwa, kwa wiki 8, nitakua nimemeza vidoge 8. Sindio? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. King In The North

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Nashukuru sana mkuu. Hii imenipa moyo. Ngoja nifanye huu utaratibu. Mungu ajaalie niweze kupona Sent using Jamii Forums mobile app
  3. King In The North

    JamiiForums Tanzania Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

    Hapana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. King In The North

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Nashukuru. Ngoja nitawatafuta Sent using Jamii Forums mobile app
  5. King In The North

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Sawa mkuu shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. King In The North

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Shukrani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. King In The North

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu sasa nawashwa nisaidieni

    Wakuu habari. Nitaandika kwa kifupi sana. Ninawashwa pumbu tangu 2016. Awali nilitumia dawa nyingi mno lakini wapi. Nilipandishaga uzi hapa nikashauriwa nitumie cream ya skerdem. Kweli ilinisanidia nikapona kabisa ila baada ya mwezi ikarudi tena. Hii cream ndo cream pekee ambayo nikipaka...
  8. King In The North

    JamiiForums Tanzania Feedback: Tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti, Dawa iliyonipa Relief na namna ya kulitibu kabisa.

    Mkuu unaposema hiyo dawa unaitumia sana, maana yake haiponyeshi permanently?
  9. King In The North

    JamiiForums Tanzania Feedback: Tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti, Dawa iliyonipa Relief na namna ya kulitibu kabisa.

    Tunaposema wanga isiyokobolewa, maana yake ni mchele na ugali wa dona?
  10. King In The North

    JamiiForums Tanzania Feedback: Tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti, Dawa iliyonipa Relief na namna ya kulitibu kabisa.

    Mimi nilishaitumia kama wiki mbili hivi sikupona. Labda nijaribu tena. Vipi athari zake kwa mama mjamzito? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. King In The North

    JamiiForums Tanzania Feedback: Tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti, Dawa iliyonipa Relief na namna ya kulitibu kabisa.

    Nitajuaje km hazina steroids mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. King In The North

    JamiiForums Tanzania Feedback: Tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti, Dawa iliyonipa Relief na namna ya kulitibu kabisa.

    Inapatikana wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom