Nimewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja hivi ,mwanzo alikuwa mpole ,mtiifu na mtu wa mungu sana ,na alikuwa ananipenda sana huenda ni kwasababu alikuwa mgeni wa mapenzi,lakin alipofanikiwa kwenda chuo hapo ndo balaa nikaanza kuliona kwni alibadilika gafla akawa mkali ,akawa...
Imekuwa nadra kwa viongozi wa serikali ya tanzania kutamka neno haki,hata akitokea kiongozi kutamka neno haki anashambuliwa sana kias unaweza kushangaa kwani haki ni sumu kwa viongozi hawa wanaohubiri aman? Hv ndo kusema hawajui haki ndo msingi wa amani? Hili jambo linaniumiza sana kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.