Recent content by King Costa

  1. K

    1SZ, 2SZ, 2NZ

    Tatizo mna kariri sana, tatizo sio Engine, tatizo hamfanyi service kwa wakati na kingine baadhi ya wabongo mnapenda Sana vitu vya bei cheap mnanunua Sana oil za bei rahisi ndio maana mnauwa Engine. Acheni kununua oil za kunjunga.
  2. K

    1SZ, 2SZ, 2NZ

    Muulize anaijua vizuri 2sz na kanuni yake au?
  3. K

    Yupo wapi Prof. Ludigo?

    Prof. Ludigo alitayarisha nyimbo nyingi sana alikuwa kichwa xana mfano. Wagosi wa kaya, Mangwair,Gk,Joh makini. etc.
Back
Top Bottom