Recent content by King Becko

  1. King Becko

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge live ni Hitaji la kibinadamu au la kisiasa??

    Ukiwa huna kitu cha kuongea niheri saana ukakaa kimya tu,,, kama serikali iliona nighali sana kulusha matangazo ya bunge live na kuamua kufungia kwa lengo la kubana matumizi,, nikwanini wamezuwia hata vyombo vingine ambavyo vinauwezo wa kulusha matangazo live bila kulipwa na serikali,,?? Lakini...
  2. King Becko

    JamiiForums Tanzania DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    We jamaaa,, kama nikitu umefeli ni kuandika hii kitu,, hebu kabla hujapost tafuta hata wataalamu wa mambo wakushauli,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. King Becko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nassari: Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa

    Alijibu kwa swali lililoulizwa,,,, kuhusu date zinazoonekana kwenye video
  4. King Becko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nassari: Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa

    Akili ukishaiweka katika mazingira ya ubishi lazima utake kubishana na kila kitu,,, swali ni je, sauti na wahusika wanaoonekana kwenye video sio wenyewe,,?? Na mipango inayozungumzwa kwenye video imetokea lini,,?? Ukiachia mbali date settings
  5. King Becko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nassari: Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa

    We ndo mzembe wa kufikili,,, maana hutaki kujua ila unataka kubishana kitu usichokijua,,,,, [emoji12]
  6. King Becko

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi

    Kwa uelewa wangu,, japo si sana swala msafara wa Raisi kwenda nchi nyingine huhusisha mambo mengi sana na huwa na watu wengi,, ambao kimsingi wangetumia ghalama kubwa sana kufika huko kukaa na pia kuludi,,, hivyo kwa kutumia wawakilishi ambao huwa ni wachache ukilinganisha na msafara wa Raisi...
  7. King Becko

    JamiiForums Tanzania Kauli moja tu ya Magufuli, Lowassa kwisha...

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. King Becko

    JamiiForums Tanzania Kauli moja tu ya Magufuli, Lowassa kwisha...

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom