Recent content by KING 2GB

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo UDOM

    Habari ndugu zangu wana JF? Hivi jamani naomba kueleweshwa juu ya hili. Maana fupi ya serikali ni mimi, wewe na yeye kama ni kweli je serikali mambo iliyoyafanya UDOM ni sahihi? na kama sio sahihi basi serikali sio ya watu. Msaada wa mawazo jamani. Ahsanteni nyote.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Make It Rain,ni neno linalotumiwa na wamwabuduo shetani katika kutafuta pesa

    Hawa jamaa pia inasemekana ni Devil worshipers,na ukifuatilia nyimbo nyingi za wasanii utasikia neno hili likitumika ipasavyo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Make It Rain,ni neno linalotumiwa na wamwabuduo shetani katika kutafuta pesa

    Makosa ya kiuandishi tu,si unajua si wote tumesoma journalism...so kuwa mpole as long as umeelewa!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Make It Rain,ni neno linalotumiwa na wamwabuduo shetani katika kutafuta pesa

    Naam,perhaps its true..nimehudhuria events nyingi za makampuni makubwa yenye mafanikio,watu wenye pesa nyingi... huchelewi kusikia WE GONNA MAKE IT RAIN
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atimuliwa kazi kwa kuongea Kiswahili

    noma sanaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi nifanyeje kumhamisha mwalimu wa kike ngazi ya msingi?

    Hapo ni kujuana tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwalimu kunyimwa likizo?

    Siyo sahihi kabisaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nini Dawa Asilia ya Chunusi?

    Msaada tafadhali jamani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nini Dawa Asilia ya Chunusi?

    Habari wana Jf? Naomba msaada wa dawa asilia ya chunusi, Asanteni
Back
Top Bottom