Recent content by kinenulo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Pesa ndogo sana nafanya kazi hiyo mbaka sasa nipo kwenye gemu miaka 15 pesa hiyo uza rejareja tu hata hivo hata reja2 bado pesa haitoshi lakini utaenda mdogo mdogo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    Kumbe msigwa na magu ni ndugu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

    Du ni kweli kabisa ndugu.ijapo kuna jambo lina utata hapa....mfano umezinguana na mke baada ya miaka 15 ya ndoa na labda una umri wa miaka 42 au zaidi,kwa mtazamo wangu huwezi kwenda kuoa bint wa miaka 19,20,22 atakuzingua mbele huwa nafikiria ikitokea kwangu natamani kuoa bint wa miaka 28 au 31...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Duka lenye jeans kali bei rahisi k'koo

    Uzi huu umenivutia sana,mim natafta maduka yanayo uza traki kali origno kama zili wanazo vaa akina daimond.kila nikizunguka dar sizioni anae jua zilipo tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom