Recent content by kinengwa

  1. K

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    kwani Mbowe Alifunga Ndoa Ya Kiislam? Maana Ndoa Ya Kiislam Ndiyo Huvunjika(ga) Rasmi.
  2. K

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    Vyovyote iwavyo uadilifu huanzia ndani. Tundu huwezi kutuambia kuwa uache mke ulokabidhiwa kihalali toka kwa wazazi wake, uende ukatomba malaya huko nje kuwa ni jambo la kawaida na eti mtu huyo ni muadilifu? Mungu asingekataza uzinzi km hilo lingekuwa jambo la kawaida. Bill Clinton alikiri...
  3. K

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    ccm is "a sleeping giant" kuiangusha kwahitaji patience na ridhaa kutoka kwa wananchi kadhalika kwahitaji ukomavu wa kisiasa,yanayotokea ndani ya chadema yanadhihirisha bado mu wachanga ktk hii medani, ccm; kwa miongo kadhaa wamekuwa wakiwasomesha uongozi wa kisiasa wanachama wake pale kivukoni...
  4. K

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    kadhalika kumfanya "bangusilo" mh mkono haitasaidia kitu mwisho mtayasema yasiyokuwemo na matokeo yake mtakuja kufedheheshana, lkn upuuzi mnaoufanya na kunyoosheana vidole wapigakura wanawaangalia na vilevile wanasikia upuuzi mnaoufanya lkn mlipaswa kukumbuka ya kuwa miezi 11 baadaye homa ya...
  5. K

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    suala la kukodisha gari ama mali binafsi ni suala la utashi wa pande zinazohusika, iweje zitto kukodi gari kwa mh mkono iwe nongwa? na watu kutaka kuona risiti za malipo kati ya mh zitto na mh mkono...! mekuwa maofisa wa mapato? wengine wanahoji ati mh zitto anapesa kiasi gani hata akodishe gari...
  6. K

    Jinsi nilivyoteswa na 'Ujiko' wa kuwafikisha wanawake kileleni!

    sidhani kama upo sahihi kudhani kuwa ulikuwa kifungoni (mtumwa wa kumfikisha kileleni) bali ulikuwa unatimiza wajibu wako kama mwanaume aliyekamilika, wanasema mwanamke hana dini bali dini yake ipo katikati ya miguu yake yaani katika maumbile yake ya uke,hii maana yake ni kuwa mwanamke...
  7. K

    What is the best way to transfer your CD collection to your computer?

    labda ungefafanua zaidi problem yako ni ipi na je unatumia operating system ipi je ni window,mac,linux ama ubuntu?
Back
Top Bottom