Recent content by Kinengunengu

  1. Kinengunengu

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Kumbe nawe u mshangazi au sofa za ushangazi zimekupita sasa u ajuza?
  2. Kinengunengu

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Wilaya ya Mlele, Halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi. Pazuri sana, huko watu wana pesa sana.
  3. Kinengunengu

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Hiyo dawa imenitoka jina. Ilikuwa inatusaidia sana Wagalanosi.
  4. Kinengunengu

    Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Unajua nini kuhusu safari ya Miraji?
  5. Kinengunengu

    Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Katika mtu ninayemuheshimu humunJF ni pamoja na wewe ila hiki ulichoandika, inawezekana uliandika ukiwa umelewa maana hata wewe ukitulia na kusoma, sidhani kama utakielewa.
  6. Kinengunengu

    Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Hahaaaaa, Pastor Mipanki ndio nani huyo? Yaani mimi ndio pastor Mipanki? Ngoja nimfuatilie mtandaoni. Anaitwa hivyo hivyo pastor Mipanki au ana jina lake?
  7. Kinengunengu

    Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Maisha haya bro sikia tu kwa watu. Kuna mtu mmoja nilimwomba alikuwa na donda ndugu mguuni. Aiseeee, Muacheni Mungunaitwe Mungu tu. Ni kweli duniani kuna watu wana mateso sana.
Back
Top Bottom