Kwa upande wangu nimekuelewa sana, hilo sio tatitizo la simu, bali source yke ni kuathirika na mother tongue, nimewahi kufundisha kanda ya ziwa wanafunzi wengi sana wanashida hyo had kwenye uandishi, kwenye a anaweka h(hayupo-ayupo, Mungu-Mugu, Igoma-Ingoma, Njoo-joo, maji-manji, hela-ela). &Coz...