Recent content by kindude

  1. K

    Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

    Asanten wote mlionishaur na mnaoendelea kunishaur,
  2. K

    Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

    I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku...
  3. K

    Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    kitakachotokea ni sawa na unatembea na mtoto mdogo katika speed sawa, ni kwamba wewe utakua unatembea kawaida, ila mtoto ataonekana anakimbia ili kumaintain speed yako.wewe v8 na mtoto ndo passo, cjui nimeeleweka hapa.
  4. K

    Wazee wa 'kataa ndoa', nielewesheni jambo hili kabla sijajiunga nanyi

    Wazee wakataandoa,natakanijiunge na nyie endapo nikieleweshwa hili. Mtazamo wenu ukoje, kwamba mnaishi na mwanamke na kumzalisha lakini hamfungi ndoa kwa maana ya kusign makaratasi kama pingu za maisha, au mnaamua kuishi bila mwanamke kabisa? Na je, kama ni hivo manaake hamtokua na familia...
  5. K

    Kuna uhusiano gani kati ya wanaume wanene na mafanikio ya kiuchumi?

    unachoshindwa kuelewa ni kwamba,mtu akipata mafanikio ndo ananenepa,
  6. K

    Mke wangu amezidisha dharau

    we jamaa umenichekesha sana
  7. K

    Je, unaweza ukatumia prep badala ya pep na ikafanya kazi vizuri?

    Heshima yenu wakuu, Nafaham kuwa PREP ni vidonge anavokunywa mtu ili vimlinde kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mf, unataka ukakutane na mtu ambae haumuamini, inafanya kazi kama condom. Wakati PEP ni vidonge anavopewa mtu baada ya kukutana kimwili au kufanya ngono zembe na mtu ambae...
  8. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    sawa lazima nilete mrejesho
  9. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    nimekua mwalim mzur, nikifundisha hili somo ntatoa 'A' za kutosha
Back
Top Bottom