Recent content by Kindo Emmanuel

  1. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ushindani huu utadumu milele kama Simba na Yanga
  2. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wazi, mchezo uendelee
  3. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kanuni zitajiseti mbeleni
  4. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yes! Lakini tunaweza kuendelea
  5. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    SASA Unabahati MCHEZO umefungwa rasmi. Hongera sana
  6. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kieleweketu, huu mchezo utaishi milele.
  7. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkuu, mchezo bado unaendelea :D
  8. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta wimbo wa Omba omba wa Bambo

    Wakuu! Kuna mwenye wimbo uitwao OMBA OMBA wa Msanii mchekeshaji Bambo? Nimeutafta sana mtandaoni sijaupata. Ni wa kitambo.
  9. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hata mimi sijamuelewa
  10. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Msanii Besta yupo wapi?

    Kwamba; "....jambo lililowavunja moyo mashabiki wengi wa kiume waliokuwa wakimtamani kwa siri." :D :D
  11. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wakubwa zako daima ni walimu wazuri. Lakini bahati mbaya kuna baadhi ya wakubwa ni wapuuzi
  12. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    SANA. Ila ukijichanganya kwenye 18 zao ni majuto
  13. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kufumaniwa ni balaa. Hasa ufumaniwe na mke wa mjeda :D
  14. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Meno ya fisi na mamba ni thabiti kuliko ya viumbe wote
  15. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mapya hushangaza machoni, lakini ya zamani yamezoeleka
Back
Top Bottom